Friday, 31 January 2014

WAZIRI MKUU ATEMBELEA ENEO LA DARAJA LILILOATHIRIWA NA MAFURIKO MKOANI MOROGORO

Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Joel Bendera (kushuto )  pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero,Mh. Anthony Mtaka wakati alipotembelea sehemu iliyoathirika kwa mafuriko,Mkoani Morogoro.

Muonekani wa Dajara lilillokatika kutokana na Mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
Musururu wa malori yaliyo kwama baada ya mafuriko yaliyotokea mkoani Morogori hivi karibuni Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment